Jamani hizi shule watoto hawazipendi...kama wazazi tunawapeleka ahule mapema sana alafu sasa shule zenyewe...ata mie ningezaliwa wakati huu kwa kweli nisingependa shule

Kabisaaa....wee mtoto miaka mitatu unaamshwa saa 11 alfajiri jzunguke kwenye skulbus wee ndio uingie darasani upo hoi.
Mtoto wa darasa la nne eti yupo shule mpka saa 11 jioni....anasoma nini cha ajabu?

Hilo tatizo lipo kwa wazazi,yaani sijui ni sifa au vipi,shule za jirani na wanapoishi zipo,lakini ionekane tu mwanae anaenda skuli na hayo magari ya njano.
Nina dada yangu anaishi kinyerezi,mwanae miaka 3,alimpeleka st.Rozalia hapo kinyerezi ni kitendo tu cha dogo kumpeleka kwa miguu
Sass basi dogo alikuwa anapanda hilo skulibasi,saa 11 gari inapita,anazunguka malo weeeh mpaka!! Dogo akirudi jioni kimechoka hatari