Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hatukuumbwa kuwa single. Tunahitaji wapendwa katika maisha yetu. Tunahitaji kupenda na kupendwa. Siyo mpango wa Mungu kuwa tuwe single labda ni kwa sababu na kusudi maalum tu!Aiseeeh hii tabia imenishinda kuivumilia....
Halafu nina bahati nao... sijui niseme mbayaaa....
Hao last borns, the only boys na the only child...khaaaa!!!??
Nilikiwa nanuniwa hadi najisahau kama niko kwenye mahusiano...[emoji23][emoji23][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeshindwa mimi
Nimegivu apu mimi.... [emoji119][emoji119][emoji119]
Nilikjwa najikuta muda wote mimi ndo najibaraguza vile siwezi kaa bila kuongea...[emoji16][emoji16][emoji16]
Raha sana kuwa singo [emoji2956].
Inafikirisha.
Hatukuumbwa kuwa single. Tunahitaji wapendwa katika maisha yetu. Tunahitaji kupenda na kupendwa. Siyo mpango wa Mungu kuwa tuwe single labda ni kwa sababu na kusudi maalum tu!
Usiyakatie tamaa mapenzi!
Uhamini?
Kama hujahama Msasani kuna siku nitakuibukia tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Mapenzi na Kasinde ni chanda na pete
Hatuachani hadi kifo...
Haikatwi tamaa hapaa, just playing on and off...