Niko hapa nacheka kama mazuri vile. Kilichokupeleka mpaka vijijini huko Gasuma ni nini? Aliyekupeleka huko po pote alipo Mirinda nyeusi inamhusu [emoji16][emoji16][emoji16]
Dumas the terrible 🤩
So sad ilitokea Wapi hii aiseee imenisikitisha sana,
Bidada pembeni anaclap her hands
Hebu nidokezeHuyo hajafika kule Bitilio(Musoma)kwa yule Mama mtaalam wa uzazi![emoji23]