Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama nawaona manabii na mitume watakavyohaha hata kujaribu kumfufua [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2130937

Siku hizi huyo shetani kashindwa ukatili na baadhi ya binadamu, yeye ameishia kuwashangaa na sidhani kama akifa leo ndio maovu yataisha, kuna baadhi ya binadamu walishampindua na kumuondoa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…