Kuna aina ya utamu hata kuusemea sijui unaanzia wapi, raha fulani hivi, nilikua nayafanya sana haya, hauhitaji mahela wala vyakula vya kizungu kama burger, aisei! Wakishua hili hawatalielewa.
Wanaume wa Ukraine wangekuwa ndo wa hapa Bongo kuna baadhi wangetuomba tuwape madera yetu na wigs wavae ili mradi tu wasijulikane kama ni wanaume maana ni waoga kuliko uwoga wenyewe.