[emoji15][emoji3064][emoji3][emoji15][emoji3064][emoji3] Naomba mawasilianoIli kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume
Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960]View attachment 2130058
Ila watunzi wa zamani visa vyao vilivutia sana kusoma
Kuishi Mara 5!? 40*5=200 does it make sense!??? [emoji23]Wale masingo shauri zenu.
Anyway usikute demu au mke ana gubu [emoji23][emoji23]
View attachment 2130192
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakua life expectancy mzee.Kuishi Mara 5!? 40*5=200 does it make sense!??? [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti...walau angesema 1980 - 1989Dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
They are neither old nor tired. Ndo kwanza nyodo kibao [emoji16][emoji16][emoji16]
Msukuma unipandishe ndege siku moja[emoji16][emoji16] mwenzio nitakufa bila kuonja nThis is the most dangerous part of the flight...roho mkononi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2130389
Kalala kwenye minyasi hata haogopi nyoka, wanaume mtakuja kufa na hizo mbususu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2130394
Nilitaka niitupie kwenye Dustin nikaamua kuacha tu
[emoji16]Yani ilo dongo likikufikia ni balaa. Unaweza kuchekwa na wanaokuzunguka pale pale[emoji16][emoji16] kipindi tupo shule kuna siku tulikuwa na kikao na headmaster akawa analalamika kuhusu utoro, kuna dogo mmoja alikuwa mkorofi sana mwalimu palepale akamlipua "nawew ***** hivi unajua baba ako ameomba kuleta magunia ya mahindi kama sehemu ya ada?! Sasa we endelea kucheza"
[emoji16] acha kabisa. Lakini Mimi sitakoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu ni janga la mahusiano!
Kunaepukika bhana.#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utajua hujui. Darasa Zima linageuka kukutazama wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata kama ndo unitangazie kuwa nmelipiwa ada kwa njia ya maparachichi, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] itabidi akae ajitafakari mara mbili mbili[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2130378