Sasa mada haikuhusu tiger, maana yeye ni mziki tofauti, ilikua mtanange wa chui vs crocodile.
Tiger hawapo Africa ila wangekuwepo sidhani kama wangemudu ugomvi na Nile crocodile
Chui hana lolote kwa mamba, huyo hapo kamkamata alligator (sijui Kiswahili chake).....
Mamba ni shughuli nyingine bana...ona hapa, na uzingatie huyu ni mamba bado mchanga.