Amini ninapokwambia mamba ni hatari nyingine, fahamu bite force ya mamba yaani, pounds per square inch (PSI) ni 3,700 ilhali ya chui ni 300
Hao unao ona wakiliwa huwa alligators ambao hawana makuu.....
Mamba yupo kwenye top ten ya apex predator, maana kwamba kwenye food chain yake yeye ndiye mbabe on top na hana mwingine juu.
Ikiwa hata simba huogopa vita dhidi ya full grown crocodile...