Vituko mitandaoni. Tupia chako

Last week nilipita Sumbawanga for the first time,nilivyotegemea kutakuwa nitofauti kabisa.....pale Mjini pako vizuri tofauti na mikoa kadhaa niliyopita......View attachment 2107452
Mkuu mchana na usiku huwa panakuwa tofauti miji mingi sana.

Inategemeana umeenda na vitu gani ambavyo wenyeji wakikuweka kwa darling zao wanajua huyu mgeni yupo vizuri au kawaida. Mfano akienda @mshanajr na kijana rickboy wakitazama mbele wanaona vitu tofauti.

Kingine wazee wenyewe wa sumbawanga wamepotea wamebakia wajukuu wanasifia nyimbo za zuchu na konde girl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…