Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aaaa kuuziana tena

Kununua mbususu naonaga kinyaa aisee.
Uko kama mimi. Tangu nizaliwe nilishanunua mara moja tu tena zamani na kwa kulaghaiwa. Washikaji walinibeba eti twende huku tukakuonyeshe mambo tukakata kona hapa na pale kuja kushtuka tuko majumba saba kwa Wahaya nikaambiwa ingia pale kuna kabinti kapya kapya ndo kamekuja hela hii hapa. Nikaingia kwa shingo upande lakini....mpaka leo sijawahi kununua aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…