Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tenda wema. Usionee mtu. Simamia haki...utakuwa kama Anthony Mtaka. Wakati wengine wanalia yeye ndo kwanza nyota yake inazidi kung'ara mpaka wananchi wanasema ikitokea akaondolewa ukuu wa mkoa wako tayari kumpigania arudishwe.

Madaraka...

Haki...

Ubinadamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…