Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hakuna lisilowezekana Afrika!


View attachment 2097435
Zifuatazo ni sheria na kanuni alizovunja kwa kitendo hiki:
1. Wakala wa Mizani
2. LATRA
3. SUMATRA
4. Tanroads
5. Traffic
6. Patrol
7. Haki za wanyama
8. Mali asili
9. Sheria ya Maziwa (aliyotunga JPM akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi)
10. Sheria ya nyama (aliyotunga JPM akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi)
11. Ongezea sheria nyingine uijuayo.....

NB.
Count the cost of your action before you take it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…