Siku zote nilijua wewe mhenga mwezangu na utakua na Yutong lako nyumbani, pole...
Sex muhimu sana, haswa kwa sisi watu wazima, hamna kingine tunasubiria maishani, muda ndio huu wa kuyafurahia haya maisha maana yanatutoka hivi karibuni, haipaswi wiki iishe bila kuchomeka humo humo.