Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ilikuwaje tukatoka miaka 900+ mpaka 70 tu? Ni DNA ilibadilishwa au nini?



View attachment 2091531
Huenda ndiyo mabadiliko ya tabia nchi ya wakati huo.
Mvulana wakati huo alikuwa ana miaka 500,
Mtoto ni miaka 1-300
.
Mzee kikongwe miaka 900-2000.
Watu walifaidi dunia aisee.
Na utakuta mtu ameishi miaka yote hiyo lakini hakuwahi kumcha mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…