Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mimi mwenyewe kweli nawazaga hii feni ikianguka itakuwaje, na mara nyingi feni hizi zinakuwaga gest!
Hapo aidha unamgojea mtu au mmeshamaliza katangulia yeye kutoka, ile unajiegesha kitandani ndio wazo la feni kuanguka linakuja!
Feni lipangue kichwa asee na linaondoka na roho yako
,sijui utaenda kujibu nini kwa mola wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…