Huyu mpuuzi alifeli brake alinikosa mimi nimepishana nalo kwenye kuingia darajan tena kwa Kubana sana kushoto na yeye akabana kulia,hii gari ilikua nyuma yangu wakavaana uso kwa uso darajan Wami dah,
Alhamdulillah