Yaani ugeuke halafu ukute limtako linabingirika dah rahaaaaa hata kama huna pesa mfukoni unasahau kwa muda aisee. Tena iwe yutong iliyofungasha semi trela la kueleweka weeeh
Haya ndio alitakiwa ayaongelee maana ndio yanayokuza deni, sio kuleta unafiki wake. Nchi inatumia karibia 65% ya bajeti kwenye matumizi tu halafu anabwabwaja ujinga.