Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkoa wa Njombe umeingia katika rekodi ya kutoa mwana CCM mwenye 'ujasiri' wa kusema Spika Ndugai hana adabu! Hii ndiyo Bongoland! Vituko mtindo mmoja!
Nimemuona huyo jamaa. Hazijui siasa zinavyofanya kazi. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu, you don't take things personal na upepo unaweza kubadilika wakati wo wote. Bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…