Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2035284

Yaan kama anasema million 35 wamepata ajira inamaanisha ni nusu ya population ya watanzania duh ***** kwa hiyo mpaka walioko shule tiyar wanaajira....
Njaa hizi mbaya ikihamia kichwani unatoa takwimu na ugoro juu
 
Kwa hiyo kumbe huku kwetu hamna kitu kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2035093
Kenya, Uganda, South Africa zimeingizwa ki magumashi hapo.
Nchi tatu za Afrika mashariki, Kenya Uganda na Tanzania hazipishani sana.
Labda utafiti wao kuhusu Tanzania waliufanyia mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…