Mkuu, unaruhusiwa kuitafuta hio 'Aya' usome tafsiri yake, utaipata kwa kiswahili fasaha. Kwenye 'aya' zake zote hutaona inataja kumpa mtu hela kwa kutumia kuku wala sindano au hata kuokota!. Hizo ni 'Shirki' kama shirki nyingine watu wanazifanya kwa mgongo wa vitabu vitakatifu. Epuka shirki!.
Unakosea chumba cha gesti hausi, unakutana na hii mambo.. Je
Utafunga mlango uondoke?
Utabaki kukodoa mimacho ya uchu?
Utapiga moyo konde uingie?
Ah..!?
Kimbia mwanangu kimbia, maana kitu kama hicho hakipo chenyewe humo, aidha njemba litakua bafuni linaoga au limetoka mara moja kuchukua kondomu dukani maana zimeisha.
Unakosea chumba cha gesti hausi, unakutana na hii mambo.. Je
Utafunga mlango uondoke?
Utabaki kukodoa mimacho ya uchu?
Utapiga moyo konde uingie?
Ah..!?