Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda dhidi ya maambukizi[emoji120][emoji120].Leo ni siku ya UKIMWI wakuu. Tuendelee kujikinga. Bado upo!
View attachment 2029530
AaaaaaaaaaaaaaaaamiiiiiiiiiiiiiiinTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda dhidi ya maambukizi[emoji120][emoji120].
Na wale walioambukizwa Mwenyezi Mungu awape shifaa
Mamee! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣French Kiss [emoji2]View attachment 2029609
Aaaaaaa, Kweli Mkuu, na~withdraw statement yangu!So tuko kwenye mada ya vituko mitandaoni? Au umesahau?[emoji23]
Hii Good Morning Breakfast unaitandika kisawasawa na kulamba sahani mpaka inatakata.Cha asubuhiView attachment 2028826
[emoji3]mie ahadi yangu hadi Bado miaka 4 mbele[emoji120]Acha kuhamisha magoli [emoji16]
View attachment 2029532
Kabisa[emoji3]kama babu yangu bado anaishi kwa baba yake,mie nani hadi nihame kwetu[emoji41]