ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Hahahahaa, unajua hata Mourinho alipaona pachungu Chelsea baada ya kumzingua daktari Eva na Eva akasema, dadadeki wachezaji walimchenjia mpaka akakimbia timu
Pale unapomuahidi Slay Queen hela ya saloon.
Ndio maana inaitwa makeup
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalibu feli