Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kumbuka Guardiola alipewa Barcelona akitokea Timu B ya Barcelona na akafanya makubwa hapo Catalonia.
Gianluca Vialli ambaye alikuwa mchezaji, alipewa Chalsea ambayo naye ameisaidia kiasi cha kutosha.
Kuna makocha kadha walipewa timu wakiwa hawana mataji walikotokea, wakapata mataji kwenye timu zao mpya.
Vinginevyo mnaweza kumuajili kocha mwenye mafanikio mengi alikotokea lakini kwako akachemsha.
Mfano wa hivi karibuni muangalie Jose Morinho.
Ameshindwa kuinyanyua Man United na hakufurukuta akiwa na Tottenham Hotspur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…