Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nadhani kama ulivyosema kwenye mpira wewe mtupu, bora tusimame hapo.
Maana umemuongelea Gerrard kwa timu ya Chelsea, kitu ambacho siyo sahihi.

Kuna mashabiki wengi wa mpira wa Tanzania wenye sifa tupu kama yako, wengine ni viongozi.
Kwakuwa tuna mashabiki wengi wasiojua kazi ya kocha na changamoto zake, sitoshangaa kocha huyu akadumu Simba kwa miezi 6 au hata miezi mitatu.
 
Sijakataa kuwa kwenye mpira mi ni mweupe japo si sana. Ila,narudia tena,kocha ni pamoja na mafanikio.

Kuna zile,kaifikisha timu hii hatua fulani,kachukua kombe fulani,nk.

Mfano Pitson wa Al Ahly,anaenda pale kutoka Mamelodi,kawafanyia nini Mamelodi hadi Al Ahly wakamuona!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…