Nionavyo mimi Mbowe anaweza pigwa miaka ya kutosha watu mkabaki kushangaa.
Hizi habari zinakuja za upande mmoja tu,tena zinaoonesha mapungu ya mashahidi. Hakuna anayeleta habari za mashahidi pindi wanapotoa ushahidi konki.
Ushabiki unaweza sababisha siku ya hukumu watu wasiyaamini masikio yao.
Sidhani kama kwenye ushahidi kinachosemwa ni hivi vipande tu mnavyotuletea mitandaoni.
Tisubiri,muda utaongea.