Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yaan SHIMBA YA BUYENZE umeharibu akili yangu kila nikikutana na wadada wako mashallah lazima nikukumbuke[emoji851][emoji851]
Siyo wewe peke yako. Wengine mpaka wananitumia PM mizigo wanayokutana nayo huko mitaani. Nitafurahi sana na wewe ukianza kufanya hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Halafu siku wananzengo wakija kugundua kuwa mwenyewe kumbe nimeoa kakimbaumbau tena flat screen sijui uso wangu nitauficha wapi mimi dah![emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Legacy ya hovyo nimejijengea mimi. Hata siku nikidedi utasikia tu jamaa alikuwa anapenda misambwanda sasa kaiacha. Ai niidi tu chenji kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimecheka kifala aisee, mzee baba we ni bonge la comedian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…