Vituko mitandaoni. Tupia chako

Enzi zetu. Kutongoza ilikuwa kazi kweli kweli...mpaka ukapewe mbususu mweh!

Siku hizi ukishapewa namba tu kazi kwisha

View attachment 2000233View attachment 2000234
Zamani wadada kazi kazi
Hawalewi bia leo kesho
Siku hizi vichwa panzi
Bia mbili keshafika geto

Zamaaaaani ni tofauti na leo
Hadi ng'ombe maradufu ndo anakuwa mkeo
Zamaaaaani ni tofauti na leo
Ukitoa chips kuku analegeza komeo
 
Zamani wadada kazi kazi
Hawalewi bia leo kesho
Siku hizi vichwa panzi
Bia mbili keshafika geto

Zamaaaaani ni tofauti na leo
Hadi ng'ombe maradufu ndo anakuwa mkeo
Zamaaaaani ni tofauti na leo
Ukitoa chips kuku analegeza komeo
Zamani ya wapi unaongelea mdogo wangu? Ya 2000+ hii uliyozaliwa? Mi naongelea miaka ya 55 huko hata wazazi wako bado hawajazaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…