Usiombe ukachakaa, halafu watu ulozaliwa nao wanaonekana wadogo zaid.........uchakavu unaletwa na kutokujitunza, kutokujitunza kunaletwa na ukosefu wa pesa
Usiombe ukachakaa, halafu watu ulozaliwa nao wanaonekana wadogo zaid.........uchakavu unaletwa na kutokujitunza, kutokujitunza kunaletwa na ukosefu wa pesa
Sio wote wanashindwa jitunza sababu ya pesaa,kuna watu duniani wanaitwa 'they don't care' hawa ni hatarii. Ninajamaa wako vizuri kiuchumi mara kumi kwangu,ila ni wachafu(nimekosa lugha nzuri ya kutumia). Yaani kuanzia kula Yao,vaa yao,magari yao ndio usiombe upande. Kiukweli kujitunza kunaanzia ndani mwa mtu kuuona umuhimu huo.
Imagine kuna mtu anajisifia ajaoga siku 5?!
Unaweza ukanitajia wangapi hapa bila kudesa? Karibu kila teknolojia tunayotumia kwa sasa kwa namna moja au nyingine inatokana na uvumbuzi wa mtu aliye katika picha hii... View attachment 1997902