Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mjitahidi kuzilinda mila zenu kama wenzanu wamasai aisee.

Maana tabia hii ya Wasukuma kuhama hama kinapunguza baadhi ya mila zao, kwakuwa baadhi ya maeneo wanaiga mila za wenyeji.
Juzi nilikuwa mkoa furani kwenye hii mikoa ambayo Wasukuma wameivamia kwa wingi.
Amefika hapo nyumbani kwa wenyeji bint mmoja wa Kisukuma alinisalimia juu kwa juu, yaani sikuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…