Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hebu msituharibie jioni yetu jamani[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Hata kama umemkuta bikra, bado hakuepukiki na ni jambo la kawaida tu.
 
Kama ana akili atahakikisha simfumanii kwa sababu sitamfuatilia. Nikimfumania basi nitajua kuwa kafanya makusudi na siku hiyo hiyo itamlazimu afungashe vilivyo vyake aende kwao na sitataka kumsikia tena kamwe mbinguni na duniani!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Acha roho mbaya.
 
Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kuanzia maumbo haya [emoji116][emoji116][emoji116]na kwenda juu itakuwa sawa. Ila naamini hawatakuwa vimbaumbau.
View attachment 1994739
Kuna vitu vinaamisha akili ya mwanaume kabisaa, imagine una drive kagari kako ka mkopo,unakutana na hii mambo inatembea kwa mguu,wanaume tuna huruma sanaaaa,sema Aminaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…