Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ehh ndiyo, ukimfumania unamsamehe tu, maisha yanaendelea
 
Akhuu, nimecopy tu mawazo ya watu huko google jamani.
Amen Mtumishi, you are in my prayers always. Ukawe mwezi wa mipenyo kwako na uwapendao
Wanahisabati katika ubora wenu. Hujambo Mtumishi? Nakutakia mwezi mpya wenye mibaraka kwako na wapendwa wako. Nikumbuke kumbuke katika maombi na mifungo yako
 
Kama ana akili atahakikisha simfumanii kwa sababu sitamfuatilia. Nikimfumania basi nitajua kuwa kafanya makusudi na siku hiyo hiyo itamlazimu afungashe vilivyo vyake aende kwao na sitataka kumsikia tena kamwe mbinguni na duniani!
Samehe 7x70 Mtumishi. Khaa unakuwaje na roho ngumu hivyo? Afu hakuna akili kwenye kuchepuka mbona
 

Ikitokea hivyo basi hakikisha unaweka ndani kabisa maana ni match made in heaven hiyo!
 
Mbingu nzuri ni ile ya mabikra aisee. Hii ya kuimba na kuabudu milele na milele dah! Ila zote ni bora kuliko kuchomwa moto milele na milele. Mungu na Atusaidie tufikie mojawapo!
View attachment 1994719
Mbingu best ni hii tuliyopo, zile za kuimba 24/7 au kulundikiwa bikra 72(sijui wanawake wanakabidhiwa mabaharia wapingapi wakifika pande hizo wanazuoni watufafanulie) ni za kuchoshana tu.
 
Nilizifikiria options zote pia ila tu nikachagua hiyo regardless, challenge iko vague majibu tofauti yanaweza kuwa sahihi.
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…