Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hakuwa na kazi!
 
Aisee kwa hii age group kapatia sana. Karibu kila mmoja unayekutana naye analia kupotezewa muda na njemba iliyopiga mbususu kwa miaka 3+ halafu ikasepa na ikamvurugia mipango ya kuolewa kabla ya kuvuka 30. Wana uchungu na hasira hao usiombe. Ukideti nao be careful kwa sababu hawataki tena kupotezewa muda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…