Vituko mitandaoni. Tupia chako

Si nimeona unasema unasaka wa kukuzalia [emoji2][emoji2][emoji2]
Nasaka mke wa tatu bageshi. First born wetu anao wanne. Mimi nataka nikomee watatu. Kama kuna kabinti ka Kisukuma huko at least 35+ nifanyie connection nkoyi...Nakūlūmba no no no [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Karibu Misungwi mjini ukipata nafasi bageshi. Ulizia kwa mzee Shimba yule mkulima maarufu wa dengu na nyanya.
 
Mijitu gani sasa? Mwenye kosa hapo ni huyo mama. Yaonekana pengine hata kufuli hana. Dogo si kwa kushangaa huko [emoji706][emoji706][emoji706]

This is abuse na picha kama hii kwenye nchi za wenzetu huko inaweza kukuletea matatizo makubwa hasa kwa aliyeipiga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…