Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.
Na wanajisahaulisha kwamba Mbeya ni mji ambao hauna majengo marefu sana kutokana na kwamba ni mji ulioinuliwa yaani ni mahali patakatifu palipoinuka mji wa makuhani.
Asiyependa akakumbatie transformer