Hii ni mind game chief,washajua wabongo wanapenda music gani,kwahiyo yameweka,ila baada ya siku si nyingi yanabadili wimbo,hapo ndio utajua mchawi wa mtanzania ni mtanzania.
Sisi kama nchi tunapitia wakati mgumu sana, niliwahi kusikiliza ibada flani cjui hata ya nani, mmama anasema tangu apeleke mtungi wake wa gas uombewe sasa ni mwaka wa tatu anatumia tuu