Kulitokea kutokuelewana kidogo nikawakoromea basi kwa vile wao wameshikilia mpini na mimi makali wakaamua tu kunitenga na jukwaa lao kwa siku saba. Lilikuwa pumziko jema tu lakini.
Hongera kwa pumziko jema kamanda.
Uraibu wa hapa nao ni mgumu aisee, kuna wakati unaona heri upumzishwe kidogo,
Ingawa ukiwa mapumzikoni unajikuta kuwamiss vijukuu vyako