Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii ndio shida ya kupanda daladala za kwenda MKATA maana watu na mbuzi wote mnakua abiria na mbuzi huwa anapewa kipaumbele maana analipa nauli kubwa kuliko anayolipa mtu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji238][emoji238]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…