Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi hao wanawake na wanaume bao tunabiwa wana maagano mabaya kwamba tukitembea nao tunayabeba maagano yao mabaya, hivi hakuna wenye maagano yasio kuwa mabaya?
Huwaga najiuliza sana hili jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…