Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Jamaa yangu alikua anajiandaa na harus tukapanga bajet ya kanzu lak unusu,kofia, kilemba msuli na vinginevyo lak unusu jumla matumiz lak tat mguu mosi mguu pili mpaka mtaa wa msikit nadhan ni posta pale kwa mara ya kwanza ktk uhai wangu nikakutana na kanzu inauzwa laki saba taslimu na kofia tukatoa ofa ya laki mtoto wa kike akatujibu haina maslah akaendelea zake kuchatMm nilikutana na mtu ananunua Tv ya Samsung million 12
Wa mitaroni
Ungemuonyeshea kidole cha katiJamaa yangu alikua anajiandaa na harus tukapanga bajet ya kanzu lak unusu,kofia, kilemba msuli na vinginevyo lak unusu jumla matumiz lak tat mguu mosi mguu pili mpaka mtaa wa msikit nadhan ni posta pale kwa mara ya kwanza ktk uhai wangu nikakutana na kanzu inauzwa laki saba taslimu na kofia tukatoa ofa ya laki mtoto wa kike akatujibu haina maslah akaendelea zake kuchat
Kofia ilikua laki unusu tukatoa ofa kwa lak kanzu ya lak saba tuliachana nayo lkn vyote tulikosaUngemuonyeshea kidole cha kati
wanazinguaga sana wale wakiona unaingia dukani wanaamini una burunguti za kutosha. kumbe umeungaungaKofia ilikua laki unusu tukatoa ofa kwa lak kanzu ya lak saba tuliachana nayo lkn vyote tulikosa
Huyu jamaa kimuonekano km zoba ingawaje anaupiga mwing
Sio fresh wadau mnamnanga mshkaj na rasta zake
Jina lake Bi Samia mtoto wa Mzee Suluhu Mjukuu wa Mzee Hasan Mke wa Mzee Hafidh sina hakika km mke wa kwanza au wa pili au singo waif taarifa zake ndio hizo fanya mambo mkeka ujao wa teuzi yoyote jina langu liwemo kuhusu malipo nitakulipa kabla ya kuingia chumba cha kiapoWakomae[emoji23]View attachment 1967518
Labda wapo hatuwaon kwa sabab hatudil nao na watoto wa siku hiz hawadil sana na waduduHawapo tena