Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
Mimi ni Mtanzania tena muafrika Mashariki damu. Nawatakie dua njema Kenya na nchi yangu Tanzania mtuakilishe vizuri Afcon 2019.
Pia kaweka na rekles kwa sura[emoji23][emoji23][emoji23]ameweka dye kwa ndevu
ameweka dye kwa ndevu
Pia kaweka na rekles kwa sura[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaha pia ataweka grey hair
[emoji23][emoji23]wakenya sijui wanakwama wapi
Ahaaa haaa haaa
Jamani Kenya maisha ni magumu ndiyo MAANA watu wanaonekana ni wapevu kumbe ni wadogo ila wamepigwa na maisha.
Ahaaa haaa haaa
Jamani Kenya maisha ni magumu ndiyo MAANA watu wanaonekana ni wapevu kumbe ni wadogo ila wamepigwa na maisha.
Daah! Aibu sana sababu anaonekana Babu kabisa halafu eti nimempita miaka kibao. Lol
Daah! Hatari sana Mkuu.Wenzetu kenya hawana aibu kabisa
Anaweza kua anaongea jambo la kipuuzi afu yupo serious balaa
Daah! Hatari sana Mkuu.