Mkuu hapa hakuna ujinga ni burudani tu.SIO KUCHEKESHA, WATU WANARUDIA RUDIA SANA..KESHO UKIINGIA UNAKUTA HII ULIYOPOST HAPA MJINGA MMOJA NAE KAIPOST.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
...Au laa andika Mbowe siyo gaidi.
Kama hii umetupia[emoji16],nisije nikatupia tena mjinga mimi[emoji2902]Mkuu hapa hakuna ujinga ni burudani tu.
Kila mmoja anatafuta ucheshi anatupia.
Ni ngumu kujua kuwa unachotupia hapa kuna memba keshatupia.
Sidhani kama ni tatizo kiasi hicho
Kipigo chake hatakaa akisahau. Hata mnaofanya jogging mjiangalie. Mkionekana mmekaa kiBAVICHA BAVICHA mnaswekwa ndani!...Au laa andika Mbowe siyo gaidi.
Nadhani jamaa anataka tuulizane, jamani hiki kuna mtua ameshapost[emoji23][emoji23][emoji23]Kama hii umetupia[emoji16],nisije nikatupia tena mjinga mimi[emoji2902]View attachment 1960813
Umeshachanja kamanda?Kama bado, nenda sasa ukapate chanjo yako View attachment 1960812
[emoji23][emoji23]Kipigo chake hatakaa akisahau. Hata mnaofanya jogging mjiangalie. Mkionekana mmekaa kiBAVICHA BAVICHA mnaswekwa ndani!
View attachment 1960814
Nilipanga nikachanje wiki hii, niliona mahali taarifa za hicho kidonge, lakini sijajua ni lini kitafika kusini mwa Jangwa la SaharaUmeshachanja kamanda?
Watu wengi sasa wanasubiri vidonge hivi vinavyozuia kirusi kisirudufishane!
View attachment 1960818
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hii nairudia ili jamaa akasirike zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1960821
Si hatuna kazi[emoji16],hii ndo kazi yet u[emoji16]Nadhani jamaa anataka tuulizane, jamani hiki kuna mtua ameshapost[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1960817
[emoji23][emoji23]Si hatuna kazi[emoji16],hii ndo kazi yet u[emoji16]View attachment 1960823
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nairudia ili jamaa akasirike zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1960821
Nadhani bado kipo kwenye hatua za mwanzo mwanzo za mchakato wa kupitishwa. Mpaka kianze kutumika labda mwaka kesho hukooo....Nilipanga nikachanje wiki hii, niliona mahali taarifa za hicho kidonge, lakini sijajua ni lini kitafika kusini mwa Jangwa la Sahara
Nakalove hako[emoji115][emoji23][emoji23]View attachment 1960825