Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hata wewe nakufahamu, lakini ukiona nakuomba picha ujue kuna jambo.

Sijui, labda labda watu wanakuomba omba picha ovyo.
Maana si vema kuwaongelea watu wengine.
Basi tuishie hapo
Yeah kuna watu huwa wanataka picha full hata kama hawana nia hiyo! So ni vyema mtu ukitumiwa sura utosheke mengine mtafahamiana mkionana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…