Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwa kweli, unapiga tu; otherwise uwe na uhakika imekwapuliwa kwako, hapo inabidi uwe mpole tu.
Kuna wakati unakuwa hujaibiwa, umeangusha au umesahau mahali.
Baadhi ya waokotaji ni waaminifu na waadilifu.
Tumesharudisha simu nyingi kwa mtindo huo wa kupigiwa.

Ukippteza simu usikate tamaa, piga tu.
Watu hawafanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…