Lakini mtakuja pata laana mjue, kuna mmoja kanisubirisha usiku wote mpaka saa nane kila nikimtumia ujumbe anajibu atakuja wala nisipate tabu, nilikesha na asubuh nikatamani nimlaani na ukoo wake wote, unasababisha mwanaume anadindisha usiku wote.....ha ha ha!