Vituko mitandaoni. Tupia chako

Marope ni sawa na Kigwa. Kutwa kucha mitandaoni kubishana na wananzengo. Babake ana jina kubwa na ni kijana wa Msoga hivyo hana wasiwasi lakini kubishana na watu mitandaoni humu hakuna faida kwa mtu kama yeye.
Uraibu wa kuchungulia mitandao ili kubishana na watu unamtesa.
Nadhani ana malengo ya kufika mbali kisiasa, lakini kitendo hicho kitamkusanyia maadui wengi ashindwe kutimiza adhima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…