Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii inanikumbusha muhuni mmoja nna bifu nae kichizi kila siku tunagombana
Halafu tuko maisha flani hayana kampani zaidi ya masela
Jamaa ananiambia
Mitoto mingine sijui huku imefuata nn
Mingine mitoto ya mama tu
Me ningekulia mtaani kwenu boy mama ako angekukataza kutembea na mimi Leo unajiona wewe muhuni sana
Hapo me ndiyo mgeni lakini bos kanipa kitengo wahuni kibao wana mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…