Nope nimekuelewa; sema najiuliza hiyo aina ya ndoa ambayo mtu yupo tu free kuzaa nje. Yaani unaoa mke, ila pia inabidi uulize kama mimba ni ya kwako au sio yako.
Nope nimekuelewa; sema najiliuliza hiyo aina ya ndoa ambayo mtu yupo tu free kuzaa nje. Yaani unaoa mke, ila pia inabidi uulize kama mimba ni ya kwako au sio yako.
Ifike wakati turuhusiwe kuwarestisha in peace hawa viumbe!. Kama tutaogopa Mabeberu kutunyima ngawira zao basi Legendary [mention]Mshana Jr [/mention] a play part kwa niaba ya wana.
Ifike wakati turuhusiwe kuwarestisha in peace hawa viumbe!. Kama tutaogopa Mabeberu kutunyima ngawira zao basi Legendary [mention]Mshana Jr [/mention] a play part kwa niaba ya wana.