Mke wa mtu kwa kweli hapana hata iweje...
View attachment 1944176View attachment 1944177
#KuchapiwaHakuepukiki
Nshomile mpaka aishiwe ujanja kiasi hicho awe viwango vya Wasukusu na Wanyaki, basi atakuwa Muhaya wa asili ya Burundi.Atakuwa muhaya[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
Oooooh,wenzio wanakerekwa[emoji23]Meme zako huwa lazima ncheck kwanza umesema nini maana unazinogesha sana...
The jumping 'kalulu'. [emoji848][emoji848]Siipendi,,navielewa vitu kama hivi[emoji116][emoji7]View attachment 1944640
Oooooh,wenzio wanakerekwa[emoji23]
Kuchukua maelezo huwa ni lazima, deep conversation about the matter ila vijana wa siku hizi ni kama wanaume tata utakuta anaogopa kuiweka issue mezani eti tu 'mkewe' atakasirika kwamba kwanini hamuamini.Wadau tunapaswa kuchukua maelezo kwa kina pind wenza wetu wanaponasa upregnant tusijejibiwa km huyo mdau kwa kuwaza yasiyokuwepo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani mie huyo na fans[emoji120]Waache wajifie sisi mashabiki wako tunakupenda.....
Wataje[emoji1787][emoji1787].Oooooh,wenzio wanakerekwa[emoji23]
Msukuma hawezi fanya hivyo[emoji41]Nshomile mpaka aishiwe ujanja kiasi hicho awe viwango vya Wasukusu na Wanyaki, basi atakuwa Muhaya wa asili ya Burundi.
Wanajijua wenyewe[emoji41],kama wananilipa vile[emoji23]Wataje[emoji1787][emoji1787].
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Nikwambie kitu mjukuu? Mitandaoni humu (na kwingineko) wewe fanya kinachokupa furaha as long as huvunji sheria na mengine yote yaache. Leo utaambiwa meme ukiziwekea maelezo zinaboa. Kesho utaambiwa maelezo kidogo ndo vichocheo kunogesha nogesha. Huwezi kumridhisha kila mtu na wengine utaishia kuwakera tu hata ufanyeje.
Moral of the story: Do what you like ali mradi huvunji sheria. Tegemea kutopendwa na baadhi ya watu...na hilo lisikuumize kichwa kabisa kwa sababu ni kawaida tu. Umenisikia?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wanajijua wenyewe[emoji41],kama wananilipa vile[emoji23]
Upo vizuri[emoji23],unavyonichimba sasa[emoji2902][emoji2902][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Itatusaidia kujijua na kujulikana ili tuumbuke na tujirekebishe pia.
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Wasukuma ndiyo wanaongoza kwa maajabu wakifuatiwa na Wanyakyusa, hii kutokana na tathmini ya haraka haraka hayo makabila mengine lolote linaweza kuchukua namba tatu.Msukuma hawezi fanya hivyo[emoji41]
Humorous.Upo vizuri[emoji23],unavyonichimba sasa[emoji2902][emoji2902]
Labda nikuulize wewe mie unanichukuliaje yaani uhalisia wangu[emoji41]
Sana, haukulijua hilo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani mie huyo na fans[emoji120]
Yeah! Tatizo wake za watu ni warahisi sana yaani akikuzoea kidogo tu basi usipojikaza utaishia kumla...na muonja asali mara nyingi huishia kuchonga mzinga. Matokeo yake ndo haya ya kuuliwa au kuwa sodomized!Sema kunao yaani tu.....mwanamke ukimtazama msambwada nje nje halafu anajileta leta unashindwa uhame mtaa au ufanye nini.....
Kitambo nikiwa kijana nilimtafuna mke wa mwenye nyumba, alikua anakuja moja kwa moja kwangu tena full minyege halafu umbo lake kama lote, ilifika sehemu nikaona hatari nikaamua kuhama pamoja na kwamba kodi niliyokua nimelipa ilikua bado muda wake haujaisha.
[emoji16]Humorous.