Nyie ndio wapikaji,acheni kupika[emoji3]Msitumie mifano hii kama kichaka,ukweli ni kua siku hizi misufuria imekua mikubwa kuliko kawaida. Yaani mpaka unajiuliza hiki kizazi ni kipi?.…( )....duh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Zimbabwe au?Hongera mrembo [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1943629
Sema wewe unakera unavyoongeza maneno. Tupia meme pita hivi bila manenoYaani hii kazi itanishinda[emoji23]namie naonekana kituko[emoji41]View attachment 1943760
[emoji120]Sema wewe unakera unavyoongeza maneno. Tupia meme pita hivi bila maneno
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila kupitia maneno hayo unaweza kujua mtu yukoje pamoja na frustrations zake na mambo anayopitia [emoji2221]Sema wewe unakera unavyoongeza maneno. Tupia meme pita hivi bila maneno
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app