Hahaha.....Hapana sikuzidiwa bhana
Ule mchezo hauhitaji haraka mkuu
Mimi mbili
Yeye saba
Uwanja ulikuwa mzuri na mazingira yake yalikuwa rafiki mpaka yeye kufika saba
Kikawada au kitaalamu zaidi yeye ndo anatakiwa afunge magoli mengi
Kwema lakini mamy